Ufafanuzi wa ukwe katika Kiswahili

ukwe

nominoPlural ukwe

  • 1

    uhusiano baina ya mtu na wazazi au ndugu wa wazazi wa mkewe au mumewe.

Matamshi

ukwe

/ukwɛ/