Ufafanuzi wa ulaini katika Kiswahili

ulaini

nominoPlural ulaini

  • 1

    hali ya kupondeka kwa kitu na kuwa ungaunga.

  • 2

    hali ya wororo.

    utabwa, uteketeke

Asili

Kar

Matamshi

ulaini

/ulajini/