Ufafanuzi wa ulalo katika Kiswahili

ulalo

nominoPlural ulalo

  • 1

    mahali watu wanapopiga kambi ili kupumzika au kulala.

  • 2

    kinyume cha wima.

Matamshi

ulalo

/ulalɔ/