Ufafanuzi wa ulanga katika Kiswahili

ulanga

nomino

  • 1

    madini meupe kama ng’amba yanayoshikamana na ambayo huchimbwa ardhini na hutumiwa katika kutengenezea vitu vya vioo na ng’amba za sanaa.

Matamshi

ulanga

/ulanga/