Ufafanuzi wa ulanguzi katika Kiswahili

ulanguzi

nominoPlural ulanguzi

  • 1

    biashara ya kuwadhulumu watu kwa kuficha bidhaa muhimu ili ziadimike na kisha kuziuza ghali.

  • 2

    uuzaji ghali bidhaa muhimu zinapoadimika.

Matamshi

ulanguzi

/ulanguzi/