Ufafanuzi wa Ulaya katika Kiswahili

Ulaya

nominoPlural Ulaya

  • 1

    bara lililopo Kaskazini ya Bara la Afrika linalojumuisha nchi k.v. Uingereza, Ufaransa, Italia, Ujerumani, Ubelgiji, Ugiriki, n.k..

    Uropa

Matamshi

Ulaya

/ulaja/