Ufafanuzi wa ulimbo katika Kiswahili

ulimbo

nominoPlural ulimbo

  • 1

    utomvu mzito unaonata kama wa mfenesi, agh. hutumiwa kutegea ndege au nzi.

Matamshi

ulimbo

/ulimbɔ/