Ufafanuzi wa umaarufu katika Kiswahili

umaarufu

nomino

  • 1

    hali ya kujulikana sana.

    umashuhuri

Asili

Kar

Matamshi

umaarufu

/uma:rufu/