Ufafanuzi wa umajinuni katika Kiswahili

umajinuni

nomino

  • 1

    hali ya kutokuwa na akili barabara.

    uendawazimu

Asili

Kar

Matamshi

umajinuni

/umaʄinuni/