Ufafanuzi wa umakanika katika Kiswahili

umakanika

nomino

  • 1

    ufundi wa kutengeneza magari au mashine.

Matamshi

umakanika

/umakanika/