Ufafanuzi wa umande katika Kiswahili

umande

nomino

  • 1

    unyevu, agh. wa asubuhi unaotanda juu ya majani.

Matamshi

umande

/umandÉ›/