Ufafanuzi wa umati katika Kiswahili

umati

nominoPlural umati

  • 1

    watu wengi sana.

    halaiki

  • 2

    jumuia ya ufuasi wa kiongozi maalumu.

Asili

Kar

Matamshi

umati

/umati/