Ufafanuzi msingi wa umba katika Kiswahili

: umba1umba2

umba1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    Kidini
    (kwa Mwenyezi Mungu tu) fanya kiumbe.

  • 2

    huluku

Matamshi

umba

/umba/

Ufafanuzi msingi wa umba katika Kiswahili

: umba1umba2

umba2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

Matamshi

umba

/umba/