Ufafanuzi wa umbeya katika Kiswahili

umbeya, umbea

nomino

  • 1

    tabia ya kutoa habari bila ya kutumwa.

    udaku, kilimilimi, fukufuku, uheke, uzandiki

Matamshi

umbeya

/umbɛja/