Ufafanuzi wa umbia katika Kiswahili

umbia

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~isha

  • 1

    enda hewani kama ndege aendavyo bila ya kupigapiga mbawa.

Matamshi

umbia

/umbija/