Ufafanuzi wa umbo katika Kiswahili

umbo

nominoPlural maumbo

  • 1

    mkao wa kitu kilivyoumbwa au kilivyoundwa.

    dutu, jisimu

Matamshi

umbo

/umbɔ/