Ufafanuzi wa umbu katika Kiswahili

umbu

nominoPlural maumbu

  • 1

    jina wanaloitana ndugu wazawa wa kike na wa kiume.

Matamshi

umbu

/umbu/