Ufafanuzi msingi wa umeme katika Kiswahili

: umeme1umeme2

umeme1

nominoPlural umeme

  • 1

    miali ya mwanga inayoonekana kabla ya radi.

Matamshi

umeme

/umɛmɛ/

Ufafanuzi msingi wa umeme katika Kiswahili

: umeme1umeme2

umeme2

nominoPlural umeme

  • 1

    nguvu zinazotokana na vitu mbalimbali k.v. betri au jenereta na kupitia katika nyaya ambazo hutoa moto au mwanga, kuendesha mitambo, n.k..

    spaki, stimu, stima

Matamshi

umeme

/umɛmɛ/