Ufafanuzi wa umilikishaji katika Kiswahili

umilikishaji

nominoPlural umilikishaji

  • 1

    namna ya kumfanya mtu amiliki kitu k.v mali na madaraka.

Matamshi

umilikishaji

/umiliki∫aʄi/