Ufafanuzi wa umilisi katika Kiswahili

umilisi

nominoPlural umilisi

  • 1

    uwezo wa kujua mambo kwa undani katika uwanja mmoja wa taaluma.

Matamshi

umilisi

/umilisi/