Ufafanuzi wa umito katika Kiswahili

umito

nominoPlural umito

  • 1

    ugonjwa wa kuvimba miguu ya mwanamke wakati wa ujauzito.

  • 2

    unyong’onyevu au uvivu wa mume unaodhaniwa na wengine kuwa unasababishwa na ujauzito wa mkewe.

Matamshi

umito

/umitɔ/