Ufafanuzi wa umoja katika Kiswahili

umoja

nomino

  • 1

    hali ya kuwa pamoja.

    ushirikiano

  • 2

    hali ya kutokuwa zaidi ya moja.