Ufafanuzi wa Umra katika Kiswahili

Umra

nominoPlural Umra

  • 1

    Kidini
    hija ndogo.

  • 2

    ibada, ambayo ni suna, anayoitekeleza Mwislamu Makka wakati wowote katika umri wake katika maeneo matakatifu yaliyopo Kaaba.

Asili

Kar

Matamshi

Umra

/umra/