Ufafanuzi wa umri katika Kiswahili

umri

nomino

  • 1

    muda wa uhai au wa upevu wa kitu, hasa mtu, kufuatana na miaka.

    makamo

Asili

Kar

Matamshi

umri

/umri/