Ufafanuzi wa umuka katika Kiswahili

umuka

kitenzi sielekezi

  • 1

    hali ya kitu k.v. unga wa ngano kuvimba na kuwa tayari kwa kuoka k.v. maandazi au mkate.

Matamshi

umuka

/umuka/