Ufafanuzi wa unaa katika Kiswahili

unaa

nomino

  • 1

    hali ya kupenda kutia fitina.

Asili

Kar

Matamshi

unaa

/una:/