Ufafanuzi wa unajimu katika Kiswahili

unajimu

nomino

  • 1

    elimu ya nyota.

  • 2

    kazi ya mnajimu.

    falaki

Asili

Kar

Matamshi

unajimu

/unaŹ„imu/