Ufafanuzi wa unamuzi katika Kiswahili

unamuzi

nominoPlural unamuzi

  • 1

    namna ya kuopoa kitu kilichonaswa katika mtego.

Matamshi

unamuzi

/unamuzi/