Ufafanuzi msingi wa unda katika Kiswahili

: unda1unda2unda3

unda1

kitenzi elekezi

 • 1

  fanyiza, tengeneza au jenga, hasa kitu cha mbao au chuma.

 • 2

  sanidi, tengeneza, fua, fanya

Matamshi

unda

/unda/

Ufafanuzi msingi wa unda katika Kiswahili

: unda1unda2unda3

unda2

kitenzi elekezi

 • 1

  ‘Gari limeunda mtu’

Matamshi

unda

/unda/

Ufafanuzi msingi wa unda katika Kiswahili

: unda1unda2unda3

unda3

kitenzi elekezi

 • 1

  pakua asali kutoka katika mzinga wa nyuki.

  rina

Matamshi

unda

/unda/