Ufafanuzi msingi wa undani katika Kiswahili

: undani1undani2

undani1

nominoPlural undani

  • 1

    hali ya kuwa na kinyongo na mtu.

    ‘Kila mwenye undani ausafishie hapa’

Matamshi

undani

/undani/

Ufafanuzi msingi wa undani katika Kiswahili

: undani1undani2

undani2

nominoPlural undani

  • 1

    kina au kiini cha kitu au jambo.

    tumbo, batini

Matamshi

undani

/undani/