Ufafanuzi wa uneemevu katika Kiswahili

uneemevu

nomino

  • 1

    hali ya kuwa na neema.

Asili

Kar

Matamshi

uneemevu

/unɛ:mɛvu/