Ufafanuzi wa ungama katika Kiswahili

ungama

kitenzi elekezi

  • 1

    kubali ukweli wa mambo uliyofanya.

    kubali, kiri

Matamshi

ungama

/ungama/