Ufafanuzi wa ungamia katika Kiswahili

ungamia

kitenzi elekezi

  • 1

    ambia mtu makosa, dhambi, n.k. ili kuomba msamaha.

Matamshi

ungamia

/ungamija/