Ufafanuzi wa unganifu katika Kiswahili

unganifu

nominoPlural unganifu

  • 1

    namna ya kuungana watu au vitu.

Matamshi

unganifu

/unganifu/