Ufafanuzi msingi wa ungo katika Kiswahili

: ungo1ungo2

ungo1

nomino

  • 1

    kifaa cha kupepetea vitu vya nafaka kilichotengenezwa kwa chane za miwale.

    uteo

Matamshi

ungo

/ungÉ”/

Ufafanuzi msingi wa ungo katika Kiswahili

: ungo1ungo2

ungo2

nomino

  • 1

    gamba la kaa.

Matamshi

ungo

/ungÉ”/