Ufafanuzi wa unyaa katika Kiswahili

unyaa

nomino

  • 1

    uonaji wa kitu kuwa ni kichafu.

    kinyaa

Matamshi

unyaa

/uɲa:/