Ufafanuzi wa unyafuzi katika Kiswahili

unyafuzi

nomino

  • 1

    ugonjwa wa watoto wa kutokuwa na afya njema kutokana na kukosa lishe bora.

    chirwa

Matamshi

unyafuzi

/uɲafuzi/