Ufafanuzi msingi wa unyago katika Kiswahili

: unyago1unyago2

unyago1

nominoPlural unyago

  • 1

    mkusanyiko wa vijana mahali maalumu ili kufundishwa mila za jamii.

Matamshi

unyago

/uɲagɔ/

Ufafanuzi msingi wa unyago katika Kiswahili

: unyago1unyago2

unyago2

nominoPlural unyago

  • 1

    ngoma ya kuwafundisha wari mila za jamii yao.

Matamshi

unyago

/uɲagɔ/