Ufafanuzi wa unyang’anyi katika Kiswahili

unyang’anyi

nomino

  • 1

    uchukuaji wa mali ya mtu kwa kutumia mabavu.

    upokaji

Matamshi

unyang’anyi

/uɲaŋaɲi/