Ufafanuzi wa unyanya katika Kiswahili

unyanya

nominoPlural unyanya

  • 1

    hali ya kuchukia uchafu wa kitu au mtu.

  • 2

    hali ya kudharau mtu au kitu kwa sababu ya kiburi au kwa kujiona bora na hatimaye kukihepa.

    unyarafu

Matamshi

unyanya

/uɲaɲa/