Ufafanuzi wa unyasi katika Kiswahili

unyasi

nominoPlural nyasi

  • 1

    mmea pori wenye majani madogomadogo ya kijani unaoliwa na ng’ombe, mbuzi, n.k..

Matamshi

unyasi

/uɲasi/