Ufafanuzi wa unyegezi katika Kiswahili

unyegezi

nomino

  • 1

    hali ya kuhisi kutambaliwa na kitu.

    unyenyezi, kinyenyezi

  • 2

    hali ya macho kutoona vizuri.

Matamshi

unyegezi

/uɲɛgɛzi/