Ufafanuzi wa unyenyezi katika Kiswahili

unyenyezi

nominoPlural unyenyezi

  • 1

    hali ya kusisimkwa au kutekenywa kwa hisi kwa kuwa kitu laini sana chenye mzizimo kimekugusa; hali ya mtambalio wa kitu chepesi mwilini k.v. unyoya wenye uteute unaotambaa polepole mwilini.

    unyegezi, kinyenyezi

Matamshi

unyenyezi

/uɲɛɲɛzi/