Ufafanuzi wa unyogovu katika Kiswahili

unyogovu

nominoPlural unyogovu

  • 1

    hali ya kukosa nguvu kwa mwili kutokana na kuchoka, kuumwa au kuwa na mawazo.

    unyong’onyevu, unyong’onyo

Matamshi

unyogovu

/uɲɔgɔvu/