Ufafanuzi wa unyonge katika Kiswahili

unyonge

nomino

  • 1

    hali ya kuwa dhaifu.

    kikuku, udhaifu, uhafifu, dhila

Matamshi

unyonge

/uɲɔngɛ/