Ufafanuzi wa unyusi katika Kiswahili

unyusi

nomino

  • 1

    laika linalokaa mwisho wa paji la uso kabla ya kufikia kope.

Matamshi

unyusi

/uɲusi/