Ufafanuzi wa uokaji katika Kiswahili

uokaji

nominoPlural uokaji

  • 1

    kazi ya kuoka k.v. keki au mikate.

Matamshi

uokaji

/uwɔkaʄi/