Ufafanuzi wa uombaji katika Kiswahili

uombaji

nominoPlural uombaji

  • 1

    namna au jinsi ya kutoa maombi.

Matamshi

uombaji

/uwɔmbaʄi/