Ufafanuzi wa uonevu katika Kiswahili

uonevu

nominoPlural maonevu

  • 1

    tabia ya kuonea.

    udhalimu, dhuluma, ubedui, ujahili, unyama

Matamshi

uonevu

/uwɔnɛvu/