Ufafanuzi wa uongo katika Kiswahili

uongo

nominoPlural uongo

  • 1

    tabia ya kudanganya.

    uchuku, uzandiki, uheke, ulaghai

  • 2

    maneno yasiyo na ukweli.

    ghalati, batili, puya

Matamshi

uongo

/uwɔngɔ/